Posts

Showing posts from May, 2021

TASAF, Tumefikia dhima ya serikali kupunguza umasikini nchini

  Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF Umepiga hatua katika kufikia adhma ya serikali katika kupunguza umasikini. Takwimu zinaonesha   kuwa umasikini wa mahitaji ya msingi wa kaya za walengwa umepungua kwa 10% na umasikini uliokisiri kwa walengwa umepungua kwa 12%. Kwani wamejishughulisha vyema katika shughuli za kilimo,uvuvi na biashara.

HIDDEN FOR 17 YEARS DUE TO HIS DISABILITY

Image
  By PETER HELATANO RUKWA, Sumbawanga Some community members still have the challenge of continuing to hide children with special needs for fear of being ridiculed by their peers or for fear of being exposed to superstitious practices as community members have long believed that having a child with a disability is a mistake or a curse. But these children are gaining favor through various organizations such as FPCT and ICD who have been at the forefront of ensuring that children with special needs get their basic needs such as access to education and not just education but inclusive education that will make them feel good due to its satisfactory infrastructure. Sumbawanga Street, locals and civil society organizations formed by FPCT have once again succeeded in raising AWESHA MBOTO. Crawl. In an interview with the child she really wants to go to school to socialize with other children as she believes the situation will make her happy when she will be with different colleagues and ...

WAKULIMA WA TANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUKUZA MAZAO YA KILIMO

Image
  Takribani wakulima 40,000 kunufaika na mradi wa upimaji wa udongo kwa ajili ya shughuli za kilimo Zaidi ya wakulima 10,000 kutoka mkoa wa Rukwa kunufaika na mradi huu Wakulima wa Tanzania washauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kukuza mazao ya kilimo. Kampuni ya OCP Afrika iliyo kinara katika uzalishaji wa mbolea ulimwenguni, yazindua rasmi awamu ya pili ya mradi wa tathmini ya udongo ili kutoa elimu kwa wakulima juu ya aina za udongo na mazao rafiki kulimwa katika mikoa husika. Mei 21, 2021 wakulima pamoja na viongozi wa Serikali wanatarajiwa kujionea mapendekezo bora juu ya aina za mbolea kutokana na aina ya udongo uliopo. Wakulima watakutanishwa na wataalamu wakaoongeze ufanisi kwenye shughuli zao za kilimo. OCP Afrika kupitia kampuni tanzu ya OCP Tanzania kwa ilizindua awamu ya kwanza mradi wa tathmini ya udogo mwaka 2019, na awamu hii ya pili ya mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakulima na wadau wa kilimo wa mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Iringa kwa kushirik...

MAFUNZO YA KUONGEZA UELEWA NA KUPUNGUZA UNYANYAPAA KWA JAMII NA WAHUDUMU WA AFYA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA WA WATU WENYE ULEMAVU.

Image
  .Shilikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania [ SHIVYAWATA] Wameiomba   serikali kuwepo haja ya kutoa elimu kwa watoa huduma za Afya ili kuwahudumia kwa ustadi watu wenye ulemavu. Huduma za Afya kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto licha ya sera na sheria za nchi kusema kuwa kundi hili lipatiwe bure matibabu ikiwemo kupewa kipaumbele. Baadhi ya changamoto wanazokutana nazo watu wenye ulemavu katika kupata huduma za afya ni pamoja na; •        Miundo mbinu isiyo rafiki katika vituo vya kutolea huduma za afya mfano; vyoo, njia maalumu kwa ajili ya walemavu. Pia baadhi ya watu wenye ulemavu kukosa vifaa saidizi kama vile wheel chairs hivyo kuwa hatarini kupata maambukizi ya magonjwa wanapokuwa katika vituo vya kupatia huduma za afya •        Lugha (Mawasiliano) hasa kwa watu wenye ulemavu wa kusikia (uziwi)na kutoongea hivyo kupelekea changamoto katika kuwasiliana na watoa ...

TRAINING TO RAISE AWARENESS AND REDUCE DISCRIMINATION OF SOCIETY AND HEALTH CARE IN PROVIDING HEALTH CARE TO PEOPLE WITH DISABILITIES

Image
  Disability is a condition that results from a temporary or permanent physical or mental defect that limits a person's ability and equal opportunities in the performance of various social responsibilities. Such deficiencies can be exacerbated by the environment and the community's perception of disability.   In our society and elsewhere in the world a person with a disability is accompanied by stigma based on outdated traditions. As a result, people with disabilities are often seen as dependent and incapable of being helped by non-disabled people to make ends meet. This attitude leads to the exclusion of people with disabilities in the daily lives of the community around them. This view is negative and goes against basic human rights. The Constitution of the United Republic of Tanzania insists that all human beings are equal and that they are entitled to equal rights regardless of race, ethnicity, gender and religion. The Persons with Disabilities Act, 2010 section 26 (...

Mchango wa vyombo vya habari katika uchumi.

Image
  Sekta ya Habari imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta za Uchumi za Mkoa (Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Biashara, Maliasili na Ushirika). Wanahabari wamekuwa wakitoa ushirikiano kwa kushiriki katika matukio na ziara mbalimbali za viongozi wa Kitaifa, Mkoa na Wilaya katika mkoa wetu na kurusha au kuandika katika vyombo vya habari (Redio, Runinga na Magazeti) Vituo vya redio binafsi vya ndani ya mkoa viko mstari wa mbele kabisa katika kuchangia maendeleo ya sekta za uchumi za Mkoa kwa kujitolea muda hewani wa kurusha matangazo mbalimbali kufikisha elimu na utaalam kwa wananchi kwa kushirikiana na Wataalam wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Waandishi wa habari wamekuwa wakishiriki katika kutoa habari za mafunzo mbalimbali ya kilimo, mifugo, uvuvi n.k yanayofanyika katika mkoa mfano Wamekuwa wakiandika makala mbalimbali   za maendeleo ya uchumi   ndani ya mkoa. Kushiriki katika maadhimisho ya shughuli za kiuchumi   yanayofanyika ndani ya mkoa mf.Siku za wakulima...

Mchango wa sekta ya mifugo katika uchumi wa mkoa

  . Uchumi na kujikimu kimaisha ( Economic and Subsistance role): Kuuza kwa ajili ya kupata fedha kutatua dharura mbalimbali, Chanzo cha mapato (wafugaji wakubwa na wadogo), Upatikanaji wa samadi kwa ajili ya kuboresha mapato ya kilimo, Mifugo huchangia nguvukazi katika kilimo (kulima, kubeba pembejeo kupeleka shambani, kutoa mazao shambani. Benki inayoishi (mobile bank)   Masuala ya kijamii Mifugo hutumika katika shughuli mbalimbali za kijamii zikiwemo kulipa mahari, kuchinja kwenye misiba na   zawadi kwa ajili ya kupongezana. Kwa mantiki hiyo mifugo hutumika kuunganisha jamii. Ajira •        Mifugo imeajiri wafugaji, wafanyabiashara ya mifugo hai, nyama na bidhaa zake. Malighafi za viwanda vya nyama, ngozi nk

LAMBALAMBA WAFICHUA WACHAWI KUZUA TAHARUKI

Image
  Baadhi wa wananchi bado wanakumbatia imani potofu zinazopelekea migogoro baina yao. Watu maarufu kwa jina la LAMBALAMBA   wamekuwa wakifanya kazi ya kufichua wachawi hali inayopelekea migogoro kwa wananchi  Wananchi katika kijiji cha Mawenzusi Manispaa ya Sumbawanga mkoni Rukwa wamelalamikia utapeli unaofanywa na waganga wanaojiita rambaramba wanaoshurutisha watu majumbani kwa lengola kuondolewa vitu vya kishirikina walivyowekewa na mahasidi wao Wananchi hao wametoa kero hiyo mbele ya mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dr. Khalfani Haule mara baada ya kuwatembelea katika kijiji hicho alipokuwa akikagua miradi ya maendeleo huku mwenyekiti wa kijiji hicho akikiri kushindwa kudhibiti utapeli huo Naye mwenyekiti wa waganga  wa tiba asili mkoani Rukwa Michael Jackson amekemea vikali suala hilo huku mkuu wa wilaya  

MCHANGO WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA SEKTA ZA KIUCHUMI - MKOA WA RUKWA

Image
  From Rukwa region the main economic sectors that generate income for the people are Agriculture, Livestock, Fisheries, Cooperatives, Trade and Natural Resources. These sectors have been contributing significantly to the regional economy by providing industrial raw materials, employment, revenue and food. Kadoka region of Rukwa main economic sectors that generate income for the people are Agriculture, Livestock, Fisheries, Cooperatives, Trade and Natural Resources. These sectors have been contributing significantly to the regional economy by providing industrial raw materials, employment, revenue and food. •        Moka has an area of ​​1, 660,600 hectares suitable for agriculture, of which the area planted in the 2019/2020 season is 533,726.5 hectares equivalent to 32.14 percent of the total area suitable for agriculture. Yields for the year amounted to 1,173,326.91 tonnes of food crops and 109,494.42 tonnes of cash crops thus making the total pro...

MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

Image
 Leo ni siku ya kipekee kabisa kwa vyombo vya habari duniani kufurahia uhuru.Maadhimisho haya yanalenga uhuru wa kujieleza,kutangaza fursa mbalimbali katika sehemu mbalimbali. Rukwa Press club tumefanya maadhimisho haya yenye tija tarehe 07.05.2020. Kauli mbiu yetu ikiwa ni 'HABARI KWAMANUFAA YA UMMA'

SHUHUDIA KILIO CHA WANAFUNZI WANAOTEMBEA KILOMITA 20 KUFATA MASOMO

 Wanafunzi kutoka kijiji cha Nambogo wamekuwa wakitembea zaidi ya kilomita 20 kufata masomo yao katika shule ya sekondari Kalangasa hali inayopelekea wengi wao kukatisha masomo kutokana na umbali mrefu,Hivyo wamemuomba mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dr.Halfani Haule kuwasaidia alipoitembelea shule hiyo akiwa kwenye ziara yake wilayani hapo.

MKUU WA WILAYA SUMBAWANGA AONYA TABIA ZA KUENDELEA KUAMINI IMANI ZA KISHIRIKINA

Image
  Residents of Mawenzusi village in Sumbawanga Municipality in Rukwa have complained about fraud by so-called rambaramba doctors who force people to stay at home for the purpose of removing superstitious items from their victims. The citizens have raised the issue before the Sumbawanga district commissioner Dr. Khalfani Haule immediately after visiting them in the village while inspecting development projects while the village chairman admitted failing to control the scam

MKUU WA WILAYA AFANYA UKAGUZI WA MIRADI AMBAYO SERIKALI ILITOA FEDHA KUIENDELEZA

Image
  Hon. Dr. Halfan Haule   District Commissioner Sumbawanga has visited various projects that the government sent money to complete the construction of various infrastructure such as schools, clinics and hospitals where he is satisfied with the state of construction and rehabilitation of infrastructure, He also commended the people for their efforts. in collaboration with experts to complete and upgrade infrastructure in Sumbawanga municipality to reduce challenges in those areas. He has made this visit to the District Hospital (ISOFU) which is in the process of laying the roof, the Fyengelezwa clinic which is in the final stages of completion, two laboratories in KICHEMA and LUKANGAO secondary schools and two classrooms in KASENSE primary school.

BODI YA FILAMU NA COSOTA MAAGIZO

 WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO ATOA MAAGIZO MAZITO BASATA, BODI YA FILAMU NA COSOTA  Sheria na Kanuni iliyopo inayotaka BASATA, BODI ya FILAMU kujiridhisha kwa njia ya kufanya uhakiki imelenga kusimamia maudhui ya sanaa hizi yasiende kinyume na mila, desturi na utamaduni wetu. Hata hivyo, ninawaelekeza BASATA, BODI ya FILAMU na COSOTA kufanya uhakiki kwa utaratibu ambao haukwamishi kazi za wasanii wetu. Uhakiki unakusudia kulinda maadili hasa ya watoto kwa kuhakikisha maudhui mabaya hayawafikii. Kwa upande wa filamu, uhakiki unasaidia kujua maudhui yaliyopo kwenye filamu husika ili kuamua ipangiwe daraja gani. Uhakiki pia unasaidia kuepusha maudhui mabaya ya kuharibu maadili ya jamii yetu yadhibitiwe kabla ya kufika kwa mtazamaji/msikilizaji hasa watoto wetu. Ili kusimamia vyema malengo niliyoyataja ya kulinda maadili ya jamii yetu bila kuathiri ubunifu wa wasanii wetu, maendeleo ya sanaa nchini, na kudumaza ukuaji wa ajira; Wizara inafanya uchambuzi ili kuona ...

BALOZI WA SWEDENI AFURAHIA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA KUJIELEZA

  Balozi wa Sweden afurahia uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza.ameipongeza Tanzania kuenedeleza uhru wa habari na kujieleza

WIZARA YA MADINI

 *WIZARA YA MADINI YAANZA KUSUKA MIKAKATI YA KUKUSANYA SH.BIL 650 MWAKA 2021/22* Siku moja tu baada ya  Bajeti ya Wizara ya Madini kupitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tume ya Madini imewasilisha wizarani Mapendekezo ya Mpango Mkakati wa Ukusanyaji Maduhuli ya Serikali ya shilingi Bilioni 650 kiasi ambacho Wizara imepangiwa kukusanya kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.  Mapendekezo hayo yametokana na majadiliano ya kina yaliyofanywa na Tume ya Madini huku Maafisa Madini Wakazi kutoka Mikoa mbalimbali nchini wakishiriki kwa sehemu kubwa katika kuandaa mpango huo lengo likiwa ni kuhakikisha kwamba Wizara ya Madini inafikia lengo la makusanyo kwa mwaka husika.  Akizungumza katika kikao hicho, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila ameelezea utayari wa Wizara kutekeleza mapendekezo hayo na kusema kuwa, mikakati hiyo itasaidia kufikia malengo ya makusanyo ikiwemo kusaidia maendeleo ya  ukuaji wa Sekta ya Madini nchini.  Aidha, ili kute...