LAMBALAMBA WAFICHUA WACHAWI KUZUA TAHARUKI
Baadhi wa wananchi bado wanakumbatia imani potofu zinazopelekea migogoro baina yao. Watu maarufu kwa jina la LAMBALAMBA wamekuwa wakifanya kazi ya kufichua wachawi hali inayopelekea migogoro kwa wananchi
Wananchi katika kijiji cha Mawenzusi Manispaa ya Sumbawanga mkoni Rukwa wamelalamikia utapeli unaofanywa na waganga wanaojiita rambaramba wanaoshurutisha watu majumbani kwa lengola kuondolewa vitu vya kishirikina walivyowekewa na mahasidi wao
Wananchi hao wametoa kero hiyo mbele ya mkuu
wa wilaya ya Sumbawanga Dr. Khalfani Haule mara baada ya kuwatembelea katika
kijiji hicho alipokuwa akikagua miradi ya maendeleo huku mwenyekiti wa kijiji
hicho akikiri kushindwa kudhibiti utapeli huo
Naye mwenyekiti wa waganga wa tiba asili mkoani Rukwa Michael Jackson amekemea vikali suala hilo huku mkuu wa wilaya
Comments
Post a Comment