Posts

Showing posts from April, 2022

SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022-SENSA KWA MAENDELEO JIANDAE KUHESABIWA

Image
 

SENSA KWA MAENDELEO JIANDAE KUHESABIWA-2022

Image
  Kwa taarifa zaidi Tembelea Tovuti: www.nbs.go.tz

KUELEKEA MIAKA 58 YA MUUNGANO-UWAJIBIKAJI NA UONGOZI BORA

Image
 Imewekwa na Peter Helatano

RUWASA YATUMIA BILIONI 16 KUKAMILISHA MIRADI 39 YA MAJI RUKWA

Image
  RUWASA YATUMIA BILIONI 16 KUKAMILISHA MIRADI 39 YA MAJI RUKWA Na OMM Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti amepongeza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Rukwa kwa kufanikiwa kutekeleza miradi 39 ya maji yenye gharama ya shilingi Bilioni 16.6 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwenye mkoa wa Rukwa ikiwa ni juhudi za kumtua mama ndookichwani. Mkirikiti amesema hayo leo (11 Aprili 2022) mjini Sumbawanga wakati akiongea kikao cha wadau wa maji ulioratibiwa na RUWASA mkoani huo ukiwa na lengo la kuwafahamisha wadau hatua zilizofikiwa kwenye utekelezaji bajeti na mipango ya kufikisha huduma za maji vijijini.  Mkuu huyo wa Mkoa alitaja mafanikio mengine ya RUWASA kuwa ni pamoja na huduma za upatikanaji maji kuongezeka kufikia asilimia 64 vijijini na mjini imefikia asilimia 86 kutokana na kukamilika kwa miradi hiyo 39 kati ya miradi 99 yenye thamni ya shilingi Bilioni 25.5 iliyosainiwa mwaka 2021/22 . “Niwapongeze RUWASA kwa usimamizi mzuri wa miradi

UHURU WA KUJIELEZA NA MAADILI YA KAZI KWA MWANDISHI WA HABARI.

Image
    UHURU WA KUJIELEZA NA MAADILI YA KAZI KWA MWANDISHI WA HABARI. ·          NduguMwenyekitiwa   Chama cha WandishiwaHabariMkoaniRukwanatimuyako. ·          Mgenirasmi, viongozimliopomahalihapa, WandishiwaHabari, wadauwotewaHabariMabibinaMabwananawasalimiakwaJina la JamuhuriwaMuunganowa Tanzania. ·          KipekeenamshukuruMungukwakutupunguziamadhilakatikajamiiyetuambapotunaendelezakuitekelezakaziyaHabariikiwanisehemuyakipawachetuambachotumejaliwanaMaulana. ·          Aidha, namshukurumtoawazo la kuwanakongamano la uhuruwakujielezanamaadilijuuyaTasniayaHabarikwaMwandishiwaHabari. ·          Natambuakwambakilatasniainamaadilinamisingiyakeyakaziilikudumishauhuru, amaninauzalendokwamaslahimapanayajamiiyaWatanzania. ·          Hivyobasi, kwafursahiinawashukuruwaliodhaminizoezihiliambaoni UTPC (UmojawaWandishiwaHabari Tanzania) kwakushirikiananaInternational Media Support, (IMS). ·          UhuruwakujielezaniutashiwaMwandishiwakuoneshahisiazakekwajamiiau kwamamlakailiyopok

Picha za baadhi ya waandishi wa habari Katika siku ya Mdahalo wa Vyombo vya Habari

Image
Picha:Kyandwale Msangalufu-Blogger Picha:Baadhi ya wadau wa Vyombo vya Habari walioalikwa Katika Mdahalo wa Vyombo vya Habari Picha:Edith Peter-Mwandishi wa Habari vosfm Radio Picha:Wilbroad Sumia-Mwandishi wa Habari  Channel Ten Picha:Amani Kassimba-Afisa Habari Mkoa wa Rukwa Picha: Sammy Kisika-Katibu Rukwa Press Club Hizo Ni baadhi ya picha chache za wandishi wa Habari waliohudhuria Katika Mdahalo wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Rukwa ulioshirikisha wadau mbalimbali Kutoka serikalini na sekta binafsi Lengo ikiwa Ni kujadili pamoja mafunafaa na changamoto Katika sekta ya Habari na namna ya uboreshaji wa Habari kwa manufaa ya umma na kukuza tasnia ya Habari. Imewekwa na Peter Helatano-Blogger