Posts

Showing posts from August, 2021

Mh.Mary Masanja Apokelewa kwa shangwe sana alipotembelea Mapolomoko ya Maji Kalambo-Kalambo water falls

Image
Picha za matukio mbalimbali ya Naibu waziri wa Mariasili na utalii Mh.Mary Masanja katika eneo la Mapolomoko ya maji Kalambo.  

ZALISHENI MITI YA KUTOSHA KISHA GAWENI KWA TAASISI MBALIMBALI

Image
 Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Mary Francis Masanja amewaagiza Wakala wa misitu Tanzania TFS Kuzalisha miti mingi na kugawa katika taasisi mbalimbali kama vile Shule,Zahanati na Makanisa ili waweze kupanda miti katika maeneo yao katika kuifikia Tanzania ya Kijani na kuboresha mazingira yetu. Ametoa maagizo hayo katika ziara yake Mkoani Rukwa alipotembelea Msitu wa Mbizi unaopatikana Manispaa ya Sumbawanga. Imeandaliwa na Peter Helatano