Mchango wa sekta ya mifugo katika uchumi wa mkoa

 

. Uchumi na kujikimu kimaisha (Economic and Subsistance role):

  1. Kuuza kwa ajili ya kupata fedha kutatua dharura mbalimbali,
  2. Chanzo cha mapato (wafugaji wakubwa na wadogo),
  3. Upatikanaji wa samadi kwa ajili ya kuboresha mapato ya kilimo,
  4. Mifugo huchangia nguvukazi katika kilimo (kulima, kubeba pembejeo kupeleka shambani, kutoa mazao shambani.
  5. Benki inayoishi (mobile bank)

 

Masuala ya kijamii

Mifugo hutumika katika shughuli mbalimbali za kijamii zikiwemo kulipa mahari, kuchinja kwenye misiba na  zawadi kwa ajili ya kupongezana. Kwa mantiki hiyo mifugo hutumika kuunganisha jamii.

Ajira

       Mifugo imeajiri wafugaji, wafanyabiashara ya mifugo hai, nyama na bidhaa zake.

Malighafi za viwanda vya nyama, ngozi nk

Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA