TASAF, Tumefikia dhima ya serikali kupunguza umasikini nchini
Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF Umepiga hatua katika kufikia adhma ya serikali katika kupunguza umasikini. Takwimu zinaonesha kuwa umasikini wa mahitaji ya msingi wa kaya za walengwa umepungua kwa 10% na umasikini uliokisiri kwa walengwa umepungua kwa 12%. Kwani wamejishughulisha vyema katika shughuli za kilimo,uvuvi na biashara.
Comments
Post a Comment