Posts

DK.MZINDAKAYA ALITOA MAELEKEZO HAYA AKIFA

Image
  Hayati Mpendwa mzee wetu Dk. Chrisant Mzindakaya mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania aliyefariki katika hospitali ya Mhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa anatajarajiwa kuzikwa Alhamisi Juni 12,2021 mida ya saa 9 Alasiri. Msemaji wa familia Frank Mzindakaya amesema Mzindakaya kabla hajafariki alitoa maelekezo ywa mahali pa kuzikiwa akifa.Hivyo familia itatekeleza jambo hilo.Hayati mzee wetu Dk. Mzindakaya anashikilia rekodi ya kuwa kiongozi aliyedumu katika uongozi kwa mda mrefu rekodi ambayo bado haijavunjwa na mtu yoyote hapa nchini kwa takribani miaka 40.Pumzika kwa amani mzee wetu tutaenzi mema na ushauri wako katika kulijenga Taifa letu la Tanzania.Imeandaliwa na Peter Helatano

NAMNA MRADI WA ELIMU JUMUISHI UNAVYOKUWA KWA JAMII

Image
  Mradi wa elimu jumuishi Sumbawanga umekuwa na matokeo chanya kwa jamii,wanajamii wamekuwa na uelewa mapana juu ya kuishi na watoto wenye mahitaji maalumu,namna ya kuwahudumia na kuzingatia miundombinu itakayokuwa rafiki kwa watoto wawapo nyumbani au shuleni pia. Lakini changamoto ni kwa baadhi ya shule kutotunza miundombinu inayoboreshwa na mradi huu. Hivyo sisi kama wanajamii tuamke na kuthamini msaada tunaopatiwa lakini pia kujitoa katika uchangiaji kwa watu wenye mahitaji maalumu. Mradi huu unalenga kuwasaidia watu wenye mahitaji maalumu ikiwa ni pamoja na kuwasaidia vifaa saidizi mradi ambao unasimamiwa na ERICK KAMKONO ambao unaratibiwa na kanisa la FPCT na ICD Kwa hapa Tanzania.  Imeandaliwa na Peter Helatano

TASAF, Tumefikia dhima ya serikali kupunguza umasikini nchini

  Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF Umepiga hatua katika kufikia adhma ya serikali katika kupunguza umasikini. Takwimu zinaonesha   kuwa umasikini wa mahitaji ya msingi wa kaya za walengwa umepungua kwa 10% na umasikini uliokisiri kwa walengwa umepungua kwa 12%. Kwani wamejishughulisha vyema katika shughuli za kilimo,uvuvi na biashara.

HIDDEN FOR 17 YEARS DUE TO HIS DISABILITY

Image
  By PETER HELATANO RUKWA, Sumbawanga Some community members still have the challenge of continuing to hide children with special needs for fear of being ridiculed by their peers or for fear of being exposed to superstitious practices as community members have long believed that having a child with a disability is a mistake or a curse. But these children are gaining favor through various organizations such as FPCT and ICD who have been at the forefront of ensuring that children with special needs get their basic needs such as access to education and not just education but inclusive education that will make them feel good due to its satisfactory infrastructure. Sumbawanga Street, locals and civil society organizations formed by FPCT have once again succeeded in raising AWESHA MBOTO. Crawl. In an interview with the child she really wants to go to school to socialize with other children as she believes the situation will make her happy when she will be with different colleagues and ...

WAKULIMA WA TANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUKUZA MAZAO YA KILIMO

Image
  Takribani wakulima 40,000 kunufaika na mradi wa upimaji wa udongo kwa ajili ya shughuli za kilimo Zaidi ya wakulima 10,000 kutoka mkoa wa Rukwa kunufaika na mradi huu Wakulima wa Tanzania washauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kukuza mazao ya kilimo. Kampuni ya OCP Afrika iliyo kinara katika uzalishaji wa mbolea ulimwenguni, yazindua rasmi awamu ya pili ya mradi wa tathmini ya udongo ili kutoa elimu kwa wakulima juu ya aina za udongo na mazao rafiki kulimwa katika mikoa husika. Mei 21, 2021 wakulima pamoja na viongozi wa Serikali wanatarajiwa kujionea mapendekezo bora juu ya aina za mbolea kutokana na aina ya udongo uliopo. Wakulima watakutanishwa na wataalamu wakaoongeze ufanisi kwenye shughuli zao za kilimo. OCP Afrika kupitia kampuni tanzu ya OCP Tanzania kwa ilizindua awamu ya kwanza mradi wa tathmini ya udogo mwaka 2019, na awamu hii ya pili ya mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakulima na wadau wa kilimo wa mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Iringa kwa kushirik...

MAFUNZO YA KUONGEZA UELEWA NA KUPUNGUZA UNYANYAPAA KWA JAMII NA WAHUDUMU WA AFYA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA WA WATU WENYE ULEMAVU.

Image
  .Shilikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania [ SHIVYAWATA] Wameiomba   serikali kuwepo haja ya kutoa elimu kwa watoa huduma za Afya ili kuwahudumia kwa ustadi watu wenye ulemavu. Huduma za Afya kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto licha ya sera na sheria za nchi kusema kuwa kundi hili lipatiwe bure matibabu ikiwemo kupewa kipaumbele. Baadhi ya changamoto wanazokutana nazo watu wenye ulemavu katika kupata huduma za afya ni pamoja na; •        Miundo mbinu isiyo rafiki katika vituo vya kutolea huduma za afya mfano; vyoo, njia maalumu kwa ajili ya walemavu. Pia baadhi ya watu wenye ulemavu kukosa vifaa saidizi kama vile wheel chairs hivyo kuwa hatarini kupata maambukizi ya magonjwa wanapokuwa katika vituo vya kupatia huduma za afya •        Lugha (Mawasiliano) hasa kwa watu wenye ulemavu wa kusikia (uziwi)na kutoongea hivyo kupelekea changamoto katika kuwasiliana na watoa ...

TRAINING TO RAISE AWARENESS AND REDUCE DISCRIMINATION OF SOCIETY AND HEALTH CARE IN PROVIDING HEALTH CARE TO PEOPLE WITH DISABILITIES

Image
  Disability is a condition that results from a temporary or permanent physical or mental defect that limits a person's ability and equal opportunities in the performance of various social responsibilities. Such deficiencies can be exacerbated by the environment and the community's perception of disability.   In our society and elsewhere in the world a person with a disability is accompanied by stigma based on outdated traditions. As a result, people with disabilities are often seen as dependent and incapable of being helped by non-disabled people to make ends meet. This attitude leads to the exclusion of people with disabilities in the daily lives of the community around them. This view is negative and goes against basic human rights. The Constitution of the United Republic of Tanzania insists that all human beings are equal and that they are entitled to equal rights regardless of race, ethnicity, gender and religion. The Persons with Disabilities Act, 2010 section 26 (...