DK.MZINDAKAYA ALITOA MAELEKEZO HAYA AKIFA
Hayati
Mpendwa mzee wetu Dk. Chrisant Mzindakaya mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania
aliyefariki katika hospitali ya Mhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa
akitibiwa anatajarajiwa kuzikwa Alhamisi Juni 12,2021 mida ya saa 9 Alasiri.
Msemaji wa familia Frank Mzindakaya amesema Mzindakaya kabla hajafariki alitoa
maelekezo ywa mahali pa kuzikiwa akifa.Hivyo familia itatekeleza jambo hilo.Hayati
mzee wetu Dk. Mzindakaya anashikilia rekodi ya kuwa kiongozi aliyedumu katika
uongozi kwa mda mrefu rekodi ambayo bado haijavunjwa na mtu yoyote hapa nchini
kwa takribani miaka 40.Pumzika kwa amani mzee wetu tutaenzi mema na ushauri
wako katika kulijenga Taifa letu la Tanzania.Imeandaliwa na Peter Helatano
Comments
Post a Comment