Posts

Image
  Wazazi na walezi Mkoani Rukwa wametakiwa kutimiza wajibu wao wa malaezi bora kwa watoto   kwa kuwapatia mahitaji   yao ili kuepusha ongezeko la ukatili dhidi ya watoto hao   ikiwa nai pamoja na kupunguza mimba shuleni. Ushari huo utolewa katika kikao kilichowakutanisha wadau mbalimbali wa kutetea haki za watoto kilicho itishwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la   PRO katika manispaa ya Sumbawanga ambapo wadau hao wamesema   mbali na wazazi   pamoja na walezi kuto wajika ipasavyo   katika malezi ya   ya watoto, baadhi yao   wamekuwa wakipora mishahara ya watoto   na kuwafanyaiza kazi kwa muda mrefu. Kwa upande upande wanafuzi wa shul ya sekondari   kilimani maweni walioshiriki katika kikao hicho wamesema kukosekana kwa mahitaji ya msingi pamoja na baadhi ya waalimu ambao   hawasililizi matatizo ya wanafunzi   ndiko kunako changia kwa kiasi kikubwa wao kukumbana na vishawishi hiyo na na kupata miba wakiwa shuleni....
Image
  Wadau wa maendeleo hapa   nchini   German committee, wametoa msaada   wa vifaa tiba vya   kutolea huduma za   macho    hatika halmashauri zote zilizopo katika mkoa wa Rukwa   na kujenga   kutuo kikuu cha huduma za matibau ya macho katika   hospitali teule ya wilaya   ya Dr Atman    kwalengo la kuboresha na kusogeza huduma   za matibabu ya macho kwa   wananchi, Akizunguza mara baada ya kukabidhi vifaatiba mbalimbali ambamyo baadhi   yake vitakutika katika upasuaji wa macho mwezeshaji wa mawasiliano kati ya germane cometee   ,serikali ya mkoa wa Rukwa na   kanisa   katoliki   jimbo sumbawanga amesema   kuwepo kwa vifaa hivyo kutaboresha na kusogez   huduma za macho kwa wananchi. Naye baba asikofu jimbo katoliki sumbawanga beatus urasana mnganga mkuu wa mkoa wa Rukwa   dkt bonifas kasululu wamewataka watoa huduma hizo za macho kuvitunza na kuvitumia   vifaa hivyo k...
Image
  WAKALA WA MAENDELEO YA UONGOZI WA SHULE-ADEM, KUSHIRIKIANA NA WIZARA YA ELIMU ,SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAMEENDESHA MAFUNZO YA UTHIBITI UBORA WA SHULE WA NDANI KWA WALIMU WAKUU KATIKA SHULE MBALIMBALI HAPA TANZANIA, KATIKA NYANDA ZA JUU KUSINI MAFUNZO HAYA YAMETAMATIKA MKOANI RUKWA YAKIUNGANISHA WALIMU KUTOKA MKOA WA SONGWE,RUKWA NA KATAVI
Image
MKUU WA MKOA RUKWA JOACHIM WANGABO ATOA MAAGIZO UJENZI WA SHULE  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa maagizo kwa Manispaa ya Sumbawanga kukamilisha ujenzi wa shule ya msingi Mkuyuni ili kuepusha mlundikano na wanafunzi kutembea umbali kwenda shule ya Msingi King'ombe.

BANDARI KABWE ITASAIDIA KUINUA UCHUMI WA RUKWA

Image
Image
Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unavyoendelea hadi sasa huko Rufiji  
Image
  Katibu Tawala wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Frank Sichalwe akiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya hiyo, wakikagua maduka yanayouza saruji kwa bei ya juu kwenye mji wa Matai wilayani humo.