Wazazi na walezi Mkoani Rukwa wametakiwa kutimiza wajibu wao wa malaezi bora kwa watoto  kwa kuwapatia mahitaji  yao ili kuepusha ongezeko la ukatili dhidi ya watoto hao  ikiwa nai pamoja na kupunguza mimba shuleni.

Ushari huo utolewa katika kikao kilichowakutanisha wadau mbalimbali wa kutetea haki za watoto kilicho itishwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la  PRO katika manispaa ya Sumbawanga ambapo wadau hao wamesema  mbali na wazazi  pamoja na walezi kuto wajika ipasavyo  katika malezi ya  ya watoto, baadhi yao  wamekuwa wakipora mishahara ya watoto  na kuwafanyaiza kazi kwa muda mrefu.

Kwa upande upande wanafuzi wa shul ya sekondari  kilimani maweni walioshiriki katika kikao hicho wamesema kukosekana kwa mahitaji ya msingi pamoja na baadhi ya waalimu ambao  hawasililizi matatizo ya wanafunzi  ndiko kunako changia kwa kiasi kikubwa wao kukumbana na vishawishi hiyo na na kupata miba wakiwa shuleni.


Licha ya elimu ya ukatili ya dhidi  ya watoto  kutolewa marakwamara  hapa  nchini  lakini bado baadhi ya maeneo  vitendo vya ukatili kwa watoto  vinaendelea kufanyika , hivyo ni vema jamii ikabadilika ili kujenge taifa la kesho

Comments

Popular posts from this blog

Watumishi Wa Umma Wilayani Kalambo Waungana Kuadhimisha Kumbukizi Ya Mashujaa Kwa Kufanya Usafi.

Dc Kalambo Ataka Walio Husika Kumuozesha Mwanafunzi Wa Darasa La Saba Kukamatwa

Mkurugenzi UTPC awataka Waandishi kuandika Habari za Usawa wa kijinsia ili kuleta mabadiliko Chanya katika jamii.