Wadau wa maendeleo hapa nchini German committee, wametoa msaada wa vifaa tiba vya kutolea huduma za macho hatika halmashauri zote zilizopo katika mkoa wa Rukwa na kujenga kutuo kikuu cha huduma za matibau ya macho katika hospitali teule ya wilaya ya Dr Atman kwalengo la kuboresha na kusogeza huduma za matibabu ya macho kwa wananchi,
Akizunguza mara baada ya kukabidhi vifaatiba mbalimbali ambamyo baadhi yake vitakutika katika upasuaji wa macho mwezeshaji wa mawasiliano kati ya germane cometee ,serikali ya mkoa wa Rukwa na kanisa katoliki jimbo sumbawanga amesema kuwepo kwa vifaa hivyo kutaboresha na kusogez huduma za macho kwa wananchi.
Naye baba asikofu jimbo katoliki sumbawanga beatus urasana mnganga mkuu wa mkoa wa Rukwa dkt bonifas kasululu wamewataka watoa huduma hizo za macho kuvitunza na kuvitumia vifaa hivyo kama ilivyokusudiwa.
Kwa upande wao watoa huduma za macho akiwepo mgamkuu wa halmashuri ya wilaya ya kalambo Dkt Eugin Rutaisire wamekili kuwpo kwa changamoto za vifaa katika vituo vya kutolea za macho huku wakielezeana namna vifaa vivyo vitakavyoweza kuinifaisha jamii.
Kuwepo kwa kituo hiki cha rufaa kwa mkoa huu na na vifaatiba vya kutosha katika kila halimashauri kutaboresha huduma za matbabu ya machona hiyo jamii hainabudi kuwapongeza wadau hawa wa maendelegemani cometee serikali na kanisa katoliki jimbo la sumbawanga kwa jitihada za kufanikisha kuboresha huduma za macho.
Comments
Post a Comment