UHURU WA KUJIELEZA NA MAADILI YA KAZI KWA MWANDISHI WA HABARI.
UHURU WA KUJIELEZA NA MAADILI YA KAZI
KWA MWANDISHI WA HABARI.
·
NduguMwenyekitiwa Chama cha
WandishiwaHabariMkoaniRukwanatimuyako.
·
Mgenirasmi, viongozimliopomahalihapa,
WandishiwaHabari, wadauwotewaHabariMabibinaMabwananawasalimiakwaJina la
JamuhuriwaMuunganowa Tanzania.
·
KipekeenamshukuruMungukwakutupunguziamadhilakatikajamiiyetuambapotunaendelezakuitekelezakaziyaHabariikiwanisehemuyakipawachetuambachotumejaliwanaMaulana.
·
Aidha, namshukurumtoawazo la kuwanakongamano
la uhuruwakujielezanamaadilijuuyaTasniayaHabarikwaMwandishiwaHabari.
·
Natambuakwambakilatasniainamaadilinamisingiyakeyakaziilikudumishauhuru,
amaninauzalendokwamaslahimapanayajamiiyaWatanzania.
·
Hivyobasi,
kwafursahiinawashukuruwaliodhaminizoezihiliambaoni UTPC
(UmojawaWandishiwaHabari Tanzania) kwakushirikiananaInternational Media
Support, (IMS).
·
UhuruwakujielezaniutashiwaMwandishiwakuoneshahisiazakekwajamiiau
kwamamlakailiyopokatikamisingiyakiuchumi, kisiasa, kihisia, kisaikolojia,
kijamii, kiimani, katikakuzingatiamaadiliyatasiniayahabarikwamanufaayaummakwaumahirihusika.
·
UhuruwakujielezawaMwandishiwaHabarinaMaadili,
Mwandishihujielezakwananinamaadiliaoneshekwanani..!bilashakaanawajibikakwajamii
·
Mwandishianawezakujielezakwamaandishi,maneno,
picha, alama, au vikakaragosiilimradiawezekuiteteahojayakekwamanufaayawananchikwakuzingatiamiikoyauandishiwaHabarinaKatibayaNchi.
·
Hapanidhahirikwamba,MwandishiwaHabariyupochiniyaMamlakaambayoniserikali
au Wananchi,ambaoniwalajiwahabarizauandishi wake.
·
UhuruwakujielezasiokwaMwandishiwaHabaritu,
baliumetajwakatikaKatibayaJamuhuriyaMuunganowa Tanzaniayamwaka 1977ibaraya 18
nasehemuzakeikiwanimisinginahakizaBinadamukikatiba.
·
InasadikikakwambabaadhiyaWandishiHabarisiowaaminifunawadilifu
pale anapoisalitiTasniayaHabarinakuwamawakalawakuwatumikiavibarakaambaoniwaporajiwahakizawananchi.
·
MwandishiwaHabarianastahilikuioneshajamiikaziyakeyenyeukweli,
uwazi, upendonauzalendoambaounafichuauovuuliokokwabaadhiyaTaasisibinafsinaviongoziwaumma.
·
Uhuruwakujielezaunawezakukosekana pale
tumamlakatawalaambapohazikubalianinaukwelinauwaziwakazizaMwandishiambazoumezingatiamisinginamaadiliyauandishiwaHabari.
·
MamlakakwamujibuyautashiwaMsimamiziwasheriakandamizibaadhiambazohaziendaninawakatitunashuhudiakufungiwakwavyombovyahabarikamaMagazeti,
Majarida, Radio, LuninganaMitandaoyaKijamii.
·
Siohivyotu,
baadhiyaWandishiwaHabarihutekwanakuteswa, kufungwajelakwakutengenezewakesi, kuuawa,
kutishiwamaisha, kuharibiwakwavitendeakazikamakameraamakupokwasimuilimradikulindaubadhilifu.
·
Baadhiyaviongoziwaumma au
Taassisibinafsikushindwakutoaushirikianowakutoahabarikwawandishikwahofunaubinafsiwakimaslahi.
·
Kwavitendohivyohufifishauhuruwakujielezakwawandishiwahabariambaowanakosaujasirinakuwahofuyakuishi,
kwanihakunahabariyenyethamanikulikomaisha.
·
Kwaupandemwingine, hasakwaWandishiwaHabariambaohawanaviwangovyastadizakiuandishi,
maadilinauweledi,huwaniusalitinakuichafuatasniayahabari.
·
Lakini,katikakukiukamaadiliyakazi,
kukosauaminifu, kujipendekeza, tegemeo la kupatamaslahi au ushabikiwamrengofulaniwapobaadhiyawandishihufanyaupotoshajiilikujinufaishanakusahaukiapo
cha upendonauzalendokwajamii.
·
Namnanzurinasalamakwakiasifulani, nikuwanajukwaa
la pamoja la
kupazasautizawandishiwahabariilikuishawishiserikalikuondoasheriakandamizikwavyombovyahabarikamavilivyovyamavyawandishiwahabarikwakilamkoanakuwamwamvulimmojakamailivyo
UTPC naBaraza la Habari Tanzania ingawavyombohivyohukumbwanachangamotozahapana
pale kamakutegemeaufadhilizaidinawenyemasharti.
·
Kidogosikwaumuhimusana,
MwandishiwaHabarianapaswakuzingatiaUzalendowaNchiyake, Upendo, Mawasiliano, MahusianomemanaUshirikianonakutokuwakuwachanzo
cha uchochezinakuletataharukikatikajamii.
·
MwandishiwaHabari awe kichocheowakuibuahoja,
zakufikiasuluhishona awe
Mwalimumwemakatikakufundishakwakutumiakalamuambayonitamunachunguikitumikavibaya.
·
HayoyatawezekanaendapoMwandishiwaHabariatapewamafunzokulingangananakadambalimbaliilikukuzaumahirikatikatasniayahabari.
·
Mwandishi awe namikatabakatikachombo cha
habarianachofanyiakaziilikukidhinakujikimukatikajamiianayoishiasiwetegemezikifamilia.
·
Kufanyakazikewakuzingatiakanuni, taratibu,
nasheriautenzihuoutakuzauzalendonamaendeleachanyakwajamiinakuondokananachangamoto.
Nawasilisha.
……………………………………………………………..
Mwalimu Franco NKYANDWALE.
MWANDISHI
WA HABARI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII.
SUMBAWANGA RUKWA,
Comments
Post a Comment