Picha za baadhi ya waandishi wa habari Katika siku ya Mdahalo wa Vyombo vya Habari
Picha:Kyandwale Msangalufu-BloggerPicha:Baadhi ya wadau wa Vyombo vya Habari walioalikwa Katika Mdahalo wa Vyombo vya Habari
Picha:Edith Peter-Mwandishi wa Habari vosfm RadioPicha: Sammy Kisika-Katibu Rukwa Press Club
Hizo Ni baadhi ya picha chache za wandishi wa Habari waliohudhuria Katika Mdahalo wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Rukwa ulioshirikisha wadau mbalimbali Kutoka serikalini na sekta binafsi Lengo ikiwa Ni kujadili pamoja mafunafaa na changamoto Katika sekta ya Habari na namna ya uboreshaji wa Habari kwa manufaa ya umma na kukuza tasnia ya Habari.
Imewekwa na Peter Helatano-Blogger
Comments
Post a Comment