Posts
Showing posts from April, 2022
KUELEKEA MIAKA 58 YA MUUNGANO-UWAJIBIKAJI NA UONGOZI BORA
- Get link
- X
- Other Apps
RUWASA YATUMIA BILIONI 16 KUKAMILISHA MIRADI 39 YA MAJI RUKWA
- Get link
- X
- Other Apps
RUWASA YATUMIA BILIONI 16 KUKAMILISHA MIRADI 39 YA MAJI RUKWA Na OMM Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti amepongeza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Rukwa kwa kufanikiwa kutekeleza miradi 39 ya maji yenye gharama ya shilingi Bilioni 16.6 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwenye mkoa wa Rukwa ikiwa ni juhudi za kumtua mama ndookichwani. Mkirikiti amesema hayo leo (11 Aprili 2022) mjini Sumbawanga wakati akiongea kikao cha wadau wa maji ulioratibiwa na RUWASA mkoani huo ukiwa na lengo la kuwafahamisha wadau hatua zilizofikiwa kwenye utekelezaji bajeti na mipango ya kufikisha huduma za maji vijijini. Mkuu huyo wa Mkoa alitaja mafanikio mengine ya RUWASA kuwa ni pamoja na huduma za upatikanaji maji kuongezeka kufikia asilimia 64 vijijini na mjini imefikia asilimia 86 kutokana na kukamilika kwa miradi hiyo 39 kati ya miradi 99 yenye thamni ya shilingi Bilioni 25.5 iliyosainiwa mwaka 2021/22 . “Niwapongeze RUWASA kwa usimamizi mzuri w...
UHURU WA KUJIELEZA NA MAADILI YA KAZI KWA MWANDISHI WA HABARI.
- Get link
- X
- Other Apps
UHURU WA KUJIELEZA NA MAADILI YA KAZI KWA MWANDISHI WA HABARI. · NduguMwenyekitiwa Chama cha WandishiwaHabariMkoaniRukwanatimuyako. · Mgenirasmi, viongozimliopomahalihapa, WandishiwaHabari, wadauwotewaHabariMabibinaMabwananawasalimiakwaJina la JamuhuriwaMuunganowa Tanzania. · KipekeenamshukuruMungukwakutupunguziamadhilakatikajamiiyetuambapotunaendelezakuitekelezakaziyaHabariikiwanisehemuyakipawachetuambachotumejaliwanaMaulana. · Aidha, namshukurumtoawazo la kuwanakongamano la uhuruwakujielezanamaadilijuuyaTasniayaHabarikwaMwandishiwaHabari. · Natambuakwambakilatasniainamaadilinamisingiyakeyakaziilikudumishauhuru, amaninauzalendokwamaslahimapanayajamiiyaWatanzania. · ...
Picha za baadhi ya waandishi wa habari Katika siku ya Mdahalo wa Vyombo vya Habari
- Get link
- X
- Other Apps
Picha:Kyandwale Msangalufu-Blogger Picha:Baadhi ya wadau wa Vyombo vya Habari walioalikwa Katika Mdahalo wa Vyombo vya Habari Picha:Edith Peter-Mwandishi wa Habari vosfm Radio Picha:Wilbroad Sumia-Mwandishi wa Habari Channel Ten Picha:Amani Kassimba-Afisa Habari Mkoa wa Rukwa Picha: Sammy Kisika-Katibu Rukwa Press Club Hizo Ni baadhi ya picha chache za wandishi wa Habari waliohudhuria Katika Mdahalo wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Rukwa ulioshirikisha wadau mbalimbali Kutoka serikalini na sekta binafsi Lengo ikiwa Ni kujadili pamoja mafunafaa na changamoto Katika sekta ya Habari na namna ya uboreshaji wa Habari kwa manufaa ya umma na kukuza tasnia ya Habari. Imewekwa na Peter Helatano-Blogger