
Wazazi na walezi Mkoani Rukwa wametakiwa kutimiza wajibu wao wa malaezi bora kwa watoto kwa kuwapatia mahitaji yao ili kuepusha ongezeko la ukatili dhidi ya watoto hao ikiwa nai pamoja na kupunguza mimba shuleni. Ushari huo utolewa katika kikao kilichowakutanisha wadau mbalimbali wa kutetea haki za watoto kilicho itishwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la PRO katika manispaa ya Sumbawanga ambapo wadau hao wamesema mbali na wazazi pamoja na walezi kuto wajika ipasavyo katika malezi ya ya watoto, baadhi yao wamekuwa wakipora mishahara ya watoto na kuwafanyaiza kazi kwa muda mrefu. Kwa upande upande wanafuzi wa shul ya sekondari kilimani maweni walioshiriki katika kikao hicho wamesema kukosekana kwa mahitaji ya msingi pamoja na baadhi ya waalimu ambao hawasililizi matatizo ya wanafunzi ndiko kunako changia kwa kiasi kikubwa wao kukumbana na vishawishi hiyo na na kupata miba wakiwa shuleni....