MAPAMBANO NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI -PLAN INTERNATIONAL
Meneja mradi wa kupambana na ndoa na mimba za utotoni Kisasu Sikalwanda wa Plan International mkoa wa Rukwa akitoa mada kwa wadau wa mradi huo (hawako pichani) kwenye mafunzo ya namna ya utendaji kazi wa programu hizo za mapambano dhidi ya ndoa za utotoni kwenye ukumbi wa Bethlhem mjini Sumbawanga .
Hongereni Sana.
ReplyDelete