WANANCHI NSIMBO WAMPONGEZA MBUNGE NA MKURUGENZI UJENZI WA SHULE

 NA George Mwigulu.Nsimbo.

Wananchi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha Tumaini kata ya Itenka Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoa wa Katavi wamekiri kuwa matatizo ya utoro shuleni na mimba za utotoni zitakoma baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa shule ya msingi Makomelo.





Ujenzi wa shule hiyo unatekelezwa chini ya mradi wa Boost ambapo fedha Mil 561 zinatumika kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa 16 sambamba na vifaa vya samani kama vile madawati.

Masolwa Malubano,Mkazi wa kitongoji Cha Songambele ameeleza wamekuwa na matatizo ya watoto wao kwenda shule umbali zaidi wa kilometa tisa(9) jambo ambalo licha ya juhudi kubwa za kuchangia chakula mahala pakusomea lakini Bado watoto wao walishindwa kumudu umbali.



Comments

Popular posts from this blog

Watumishi Wa Umma Wilayani Kalambo Waungana Kuadhimisha Kumbukizi Ya Mashujaa Kwa Kufanya Usafi.

Dc Kalambo Ataka Walio Husika Kumuozesha Mwanafunzi Wa Darasa La Saba Kukamatwa

Mkurugenzi UTPC awataka Waandishi kuandika Habari za Usawa wa kijinsia ili kuleta mabadiliko Chanya katika jamii.