SERIKALI KUONGEZA WIGO MAWASILIANO MIPAKANI

 SERIKALI KUPANUA WIGO WA MAWASILIANO MIPAKANI

Serikali kupanua wigo wa Mawasiliano Katika Mikoa iliyopo mpakani mwa nchi nyingine jirani ili kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano kwa wananchi na kuondoa vikwazo vya kimtandao kwa kushirikiana na makampuni mengine ya Mawasiliano kupitia mfuko wa huduma ya Mawasiliano kwa wote kwa kujenga minala ya Mawasiliano sehemu zenye changamoto ya mtandao.

Ziara ya Waziri wa Habari,Mawasiliano  na teknolojia ya habari Mkoani Rukwa wilayani Kalambo  Nape Mnauye imebeba undani wa suala la Mawasiliano Katika uzinduzi wa mnala wa Mawasiliano uliofanyika Katika kijiji cha Katuka.



Hatua hiyo ya kuwekwa mnala Katika kijiji cha Katuka imepongezwa na wananchi huku Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga akibainisha maeneo yenye changamoto za kimtandao


Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA