SERIKALI KUWEKA MIPAKA KULINDA VYANZO VYA MAJI

 

SERIKALI KUWEKA MIPAKA KULINDA VYANZO VYA MAJI

Serikali Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa imeanza Uwekaji wa mipaka kati ya Pori la Akiba Lwafi na Kijiji cha Mtogolo kilichopo Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa ili Kulinda chanzo cha maji katika bwawa la Mfili amabalo ni tegemeo la maji Katika Wilaya ya Nkasi kutokana na bwawa hilo kukausha maji kutokana na shuguli za kibinadamu zinazodaiwa kufanyika pembezoni mwa bwawa hilo.



Hayo yamejiri Katika zoezi la uhuishaji wa  hifadhi ya msitu wa Lwafi ambopo Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Peter Lijualikali amewataka wananchi kuzingatia maelekezo ya Serikali ili kulinda vyanzo vya maji





Wananchi Katika maeneo hayo wanadai kuishi mda mrefu huku kilio chao ni kuhakikisha wanapatiwa maeneo mengine kama walivyoahidiwa na Serikali



Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA