UVCCM MKOA WA RUKWA WAKUTANA
UVCCM MKOA WA RUKWA
Leo asubuh tarehe 29/11/2022 Mwenyekit wa uvccm mkoa wa Rukwa ndugu Albert kipele amekutana na Makamu Mwenyekit wa uvccm Taifa Bi,Rehema Sombi na kufanya naye Mazungumzo juu ya agenda za vijana Mkoani Rukwa
Mazungumzo hayo yalifanyika hotel ya Moreno Dodoma . mwenyekit alikuwa ameambatana na katbu wa uvccm wilaya ya kilosa,ukumbuke katibu wa uvccm wilaya ya kilosa ana vinasaba vya maendeleo na mkoa wa Rukwa
Imetolewa na idara ya hamasa na chipukizi mkoa wa Rukwa
Makarius Kayumbi
Comments
Post a Comment