MRATIBU MSAIDIZI WA SENSA MKOANI RUKWA JAMES KAPENULO AKIELEZEA MATUMIZI YA VISHIKWAMBI KWA WAANDISHI WA HABARI

 


NA: FRANCO NKYANDWALE. SUMBAWANGA.
Mratibu Msaidizi wa Sensa ya Watu na Makazi Mkoani Rukwa James Kapenulo akielezea matumizi ya vishikwambi kwa Wandishi wa Habari Mkoani Rukwa, amesema kuwa vishikwambi hivvyo vitatumika na makarani wa Sensa hiyo hapo tarehe 23.08.2022 na Makarani hao watapatiwa mafunzo jinsi ya kuvitumia na amefafanua kwamba, zoezi hilo ambalo litafanyika kidigitali na ni Sensa ya tofauti ikilinganishwa na Sensa zote zilizofanyika hapo awali.
Ambapo taarifa za Kidemografia zitajazwa kwenye mfumo kupitia kishikwambi hali itakayoondoa upotevu wa taarifa muhimu za watu.

Comments

Popular posts from this blog

Karibu Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote

TAKUKURU YAIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KATIKA KONGAMANO LA 5 LA GLOBE NETWORK NCHINI CHINA

WALIOFUKUA KABURI WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI RUKWA