DC TANO MWERA AAGIZA WAKANDARASI RUWASA KUJENGA MIRADI KWA KIWANGO KINACHOTAKIWA
DC TANO MWERA AAGIZA WAKANDARASI RUWASA KUJENGA MIRADI KWA KIWANGO KINACHOTAKIWA
KALAMBO-RUKWA
Mkuu wa wilaya ya
Kalambo iliyopo Mkoani Rukwa TANO MWERA amewataka wakandarasi na wasimamizi wa
RUWASA wilayani humo kuhakikisha Miradi ya maji pamoja na miundombinu yake
inajengwaa kwa kiwango kitakachowezesha miradi ya maji kudumu kwa mda mrefu ili
kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
Ameleeza hayo baada ya kuambatana na kamati ya usalama wilayani humo kwa lengo la kukagua Miaradi ya maji inayojengwa katika vijiji vya Luse,Kalaela na Kalemasha inayofadhiliwa na fedha za uviko na P4R, huku FRANCIS MAPUNDA kutoka kitengo cha Uhandisi RUWASA Kalambo akieleza maendeleo ya miradi hiyo.
Aidha Kamanda wa TAKUKURU Wilayani humo LUPAKISYO MWAKYOLILE ametoa wito kwa RUWASA kuweka utaraibu mzuri wa Kulinda miundombinu ya maji ili iweze kudumu kwa mda mrefu na kusimamia ipasavyo makusavyo ya bili za maji huku wananachi wakipongeza hatua ya kufikiwa na miradi ya maji katika maeneo yao kwani itasaidia kuwaondolea
Comments
Post a Comment