TATHMINI YA UTOAJI WA CHANJO YA UVIKO 19 NYANDA ZA JUU KUSINI
WATAALAM
WA AFYA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUPATA CHANJO YA COVID 19
Na
Peter Helatano-Sumbawanga - Rukwa
Waatalaamu wa
fya katika nyanda za juu kusini wametakiwa kujitokeza na kuwa mstari wa mbele
katika kupata chanjo ya uviko 19 ili kuongeza hamasa kwa wananchi kupata chanjo
ya corona kutokana na takwimu za zoezi
hilo kwenye mikoa hiyo kuwa chini
ukilingasha na mikoa mingine nchini.
Hayo
yamebainishwa na kaimu katibu tawala mkoani Rukwa david kilonzo wakati wa
ufunguzi wa kikao cha tathimini ya
zoezi la utoaji chanjo ya uviko
19 katika mikoa ya rukwa , katavi na songwe kikao kilichofanyika mjini sumbawanga.
Awali
akitoa taarifa ya utekelezaji wa zoezi hilo kwenye mikoa ya nyanda za juu
kusini mkurugenzi wa shirika la walter reed) Sally Chalamila akaelezea mafanikio ya zoezi hilo huku
mkurugenzi msaidizi elimu ya afya kwa umma kutoka wizara ya afya dkt. Amalberga Kasangala akisisiza umhimu wa
chanjo.
Comments
Post a Comment