UZINDUZI WA MNARA WA MIAKA 60 YA UHURU


 UZINDUZI WA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MIAKA 60 YA UHURU SUMBAWANGA 


Katika kuadhimisha sherehe za uhuru wa Tanzania Bara leo Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti akiwa na Wazee wa Mji wa Sumbawanga wamezindua jiwe la msingi la mnara wa kumbukumbu ya miaka 60 ya uhuru mahala ambapo bendera ya Tanganyika huru ilipandishwa mara ya kwanza Desemba 09 ,1961.


Tukio hilo limefanyika leo eneo la Bomani wikaya ya Sumbawanga  ambapo Mkuu huyo wa Mkoa akiwa na wazee ambao walikuwepo siku ya uhuru mwaka 1961 .


Eneo hilo lililopo jirani na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga  patajengwa mnara huo mapema mwaka huu ili iwe ni kumbukumbu muhimu kwa vizazi vijavyo.

Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA