CHUKUENI MAAMUZI..RC MKIRIKITI


 Na Franco NKYANDWALE NKASI 


"Chukua maamuzi sasa ya kuchanja ili ujiepushe na ugonjwa wa CORONA ambao huua watu kwa uharaka.

 CORONA inaendelea kuangamiza watu kote duniani na wala si mchezo chukua TAHADHARI.

 Tuchanje  ili kujikinga na gojwa la CORONA ambapo serikali ya TANZANIA inatoa chanjo bure kwa watu wote” 

Asema huko NKASI, Mkuu wa Mkoa RUKWA Joseph Joseph Mkirikiti.

Published by Peter Helatano

Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA