DAVIDO AFANYA USAMARIA WEMA


Na Peter Helatano..0621374025
 Msanii maarufu nchini Nigeria DAVIDO aliendesha kampeni kupitia mtandao wa kijamii Instagram akiwaomba marafiki zake mbalimbali Afrika wanamziki akiwemo Diamond Platnumz kumchangia fedha kwa ajili ya Maandalizi ya Siku yake ya Kuzaliwa.. Birthday..Baada ya kufanikisha Jambo hilo kwa kuchangiwa kiasi Cha Bilioni 2.5 Fedha hizo hatimaye Amezieleka kwa Watoto yatima kuwapatia msaada.Hili no funzo pia kwa wasanii wengine wakubwa wanapofanya Anasa wasiwasahau watu wenye Mahitaji,Kwani Hali hiyo itakufanya kuwa na Baraka Katika shuguli zako.Jiulize wewe umewahi kufanya Nini amabacho unahisi ni moja ya Sadaka Katika maisha yako.

Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA