ZALISHENI MITI YA KUTOSHA KISHA GAWENI KWA TAASISI MBALIMBALI



 Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Mary Francis Masanja amewaagiza Wakala wa misitu Tanzania TFS Kuzalisha miti mingi na kugawa katika taasisi mbalimbali kama vile Shule,Zahanati na Makanisa ili waweze kupanda miti katika maeneo yao katika kuifikia Tanzania ya Kijani na kuboresha mazingira yetu. Ametoa maagizo hayo katika ziara yake Mkoani Rukwa alipotembelea Msitu wa Mbizi unaopatikana Manispaa ya Sumbawanga. Imeandaliwa na Peter Helatano

Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA