MKIRIKITI; MYAPUUZE MANENO YA WANAOPTOSHA JUU YA Uviko 19
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joseph Mkirikiti Ametoa maagizo kwa Mkurugenzi wa manispaa ya Sumbawanga kukamilisha majengo ya shule na Zahanatiyaliyo katika hatua za mwisho ili kuepusha msongamano madarasani na vituo vya Afya katika kipindi hiki cha kupambana na wimbi la tatu la Uviko 19 wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa ya Sumbawanga.Aidha amewataka wanachi kupuuza watu wanaopotosha juu ya Uviko 19 na badala yake wazingatie Ushauri unaotolewa na wahudumu wa Afya na Serikali kwa ujumla.Imeandaliwa na Peter Helatano
Comments
Post a Comment