Muungano Tanganyika na Zanzibar

Leo Aprili 26, 2021 nchi yetu inaadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa na Waasisi wa Taifa letu Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Abeid Karume ambao ulizaa Taifa moja la Tanzania. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawatakia Watanzania wote Sherehe njema za Sikukuu hii ya Muungano huku tukiendelea kulinda tunu muhimu za Taifa letu ambazo ni amani, umoja, upendo na mshikamano.

#Zegehalilali
#Achakaziiendelee
#TunaimaninaSamia

Comments

Popular posts from this blog

Wakulima Rukwa kutumia zana bora kuongeza uzalishaji wa mazao msimu mpya wa kilimo

UTPC KUENDELEA KUELIMISHA UMMA,UMUHIMU WA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

MAENDELEO YA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA