JUKWAA LA UCHUMI KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI
Wananchi kupata fursa ya kujifunza
Biashara,uchumi,mikopo,kampuni na viwanda Kupia kituo cha uwezeshaji wananchi
kiuchumi kinachozinduliwa Aprili 23,2021 katika viunga vya bustani Uwanja wa
Nelson Mandela Sumbawanga mjini.Hivyo ni muda sasa wananchi pamoja na wadau
wengine wa maendeleo kujitokeza katika viunga hivyo. “Frank Maten”
Comments
Post a Comment