Sensa kwa Maendeleo Jiandae Kuhesabiwa
Shiriki katika Kampeni ya Uhamasishaji ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 Tanzania πΉπΏπ kwa kubonyeza link hapo chini na kuweka *picha yako* π kama ishara ya kuunga mkono Sensa ya Watu na Makazi. Baada ya hapo download na share na wengine bila kusahau Hashtag ya #SENSATZ2022 #NIPOTAYARIKUHESABIWA ππ½
twb.nz/sensa2022tanzania
Comments
Post a Comment