MKUU WA MKOA RUKWA JOACHIM WANGABO ATOA MAAGIZO UJENZI WA SHULE Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa maagizo kwa Manispaa ya Sumbawanga kukamilisha ujenzi wa shule ya msingi Mkuyuni ili kuepusha mlundikano na wanafunzi kutembea umbali kwenda shule ya Msingi King'ombe.